Sommaire
English version
kwa kiswahili
en castellano
logo

Air Solidarité
mashindano angani
ya urafiki
kati ya Ulaya na Afrika

Air Solidarité ni mashindano angani ya urafiki kati ya Ulaya na Afrika.

Matokeo yake yanatukia kila mwaka tangu 1989 pamoja na kuungana mandege mengi yale madgo madogo yatokayo kila sehemu kutoka Ufaransa na Ulaya.

Njia ya kupitia yake inabadiliwa kila mwaka. Mwaka wa ukumbusho wa kuzaliwa wa kumi ulitayarishwa mzunguko mkubwa kwenye Afika ya magharibi, Afrika ya kati na Afrika ya mashariki. Wakati huo makundi ya ndege 33 yakaweza kupalia na kutalia nchi 12 kwenye sehemu hizo.

Wakati wa mashindano hayo (safari yake inazidi km 12 000 angani), kila kundi la ndege linaleta fedha (kupitia njia ya wadhamini), juu ya gharama na matumizi yake, kwa mradi mdogo wa maendeleo. Hizo fedha zinafikia kati ya € 7 700 mpaka 10 700 kutegmea ukubwa ya ndege wenyewe.

Ile miradi ya maendeleo iliyoko huko Burkina-Faso, Jamhuri ya Umma ya Kongo (zamani Zaire) na Kamerun inatolewa fedha kwa ASI na mashiriki yake.

ASI inakusanya kwa Air Solidarité karibu 35 kwa 100 ya mahitaji ya matumizi yake ya mwaka. Makundi ya ndege yanapitia karibu kila mwaka Bogande, sehemu ya muhimu ya mashindano. Huko porini, watu wa makundi ya ndege wanakutana na watu wa vijijini, pamoja na watu wanaoshirikia miradi ya maendeleo na makundi ya ASI. Hivi wanaweza kuangalia matekelezo ya miradi.

Jumba la Bogande

Lile jumba lisifulo Air Solidarité BOGANDE 1998

Juu ya ile miradi inayosaidia zile tume tatu za ASI, Air Solidarité inaleta fedha kwenye miradi ya mashirika ya kusaisidia yanayofanya kazi kwenye nchi zinazopitishiwa wakati wa mashindano angani. Hizo fedha zinasaidia kuendeleza zaidi ya miradi 50 kwenye nchi 20 mbali mbali huko Afrika.

Hiyo miradi inasaidia kwa mfano kwenye kujenga shule, kusaidia madawa, kuleta vifaa kwenye hospitali ndogo ndogo, kuanzisha maktaba, kutengenza vitabu vya zamani, kufundisha fundi wa visima, walimaji, kuleta maji kwenye hospitali, na kadhalika ...





Air Solidarité
5 rue Lebon
75017 Paris
Simu.Fax : 01 40 68 09 24
E-mail : airsol@club-internet.fr

Air Solidarité ni tokeo litengenezalo na ASI

Mashiriki ya Air Solidarité
(tangu maanzisho yake )

puce héliceAccor
puce héliceAir Afrique
puce héliceAssurances SM3A
puce héliceCroissance
puce héliceD.G.A.C. (Direction Générale de l'Aviation Civile)
puce héliceGroupe Air France
puce héliceI.G.N.
puce héliceJeppesen
puce héliceKahiloa
puce héliceTV concept
puce héliceStudio Vit.
puce hélicena wadhamani wote
wa makundi ya ndege yanayokimbia kwenye mashindano makubwa hayo huko angani yanayovumbulisha hali ya ukweli iliyo kwenye matekelezo ya maendeleo.